LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2019

RAIS WA KOREA KASKAZINI ATUMIA TRENI KWENDA VIETNAM KUKUTANA NA RAIS TRUMP

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un atumia treni akielekea nchini Vietnam kwa ajili ya mkutano wake wa pili wa kilele na rais Donald Trump wa Marekani. 


Kim ameambatana na Kim Yong Chol, ambaye ndie mpatanishi muhimu katika mazungumzo na Marekani. Mkutano wa pili baina ya Kim na Trump umepangwa kufanyika Jumatano na Alhamis wiki ijayo mjini Hanoi. 

Mkutano wa kwanza uliofanyika nchini Singapore mwezi Juni, ulimalizika bila ya makubaliano muhimu juu ya kusitishwa miradi ya kinyukilia ya Korea Kaskazini. 

Katika mkutano huo, wataalamu wanasema Kim atajaribu kuimarisha mahusiano na Marekani pamoja pia na kuondolewa vikwazo. Safari za nje za kiongozi huyo wa Korea Kaskazini kawaida hupangwa kwa siri. 

Zaidi ya siku mbili zitahitajika kwa treni anayosafiria Kim kuzunguka masafa ya maelfu ya kilomita kupitia mji wa mpakani wa China-Dandong hadi Vietnam.

1 comment:

  1. Having read this I believed it was rather informative.

    I appreciate you spending some time and energy to put this informative article together.

    I once again find myself spending a significant amount of time both reading and leaving comments.
    But so what, it was still worth it!

    #congtyhuanluyenchohoanggia #trungtamhuanluyenchohoanggia

    Khi có bất luận thắc mắc băn khoăn nào về trung tam huan luyen cho của Hoàng Gia hay
    những đáp lại về cho công ty, khách hàng có thể liên hệ qua
    các tin tức bên dưới. Các chuyên viên đáp lại
    sẵn lòng phục vụ quý người mua hàng trong mọi
    thời điểm.

    Hoàng Gia
    Trang chủ: Huanluyenchohoanggia.com.vn
    Hotline:0903 151 304
    Địa điểm: 121 đường Bình Chiểu, phường Bình Chiểu, quận Thủ Đức, TP.HCM.


    Tags: huấn luyện chó,trường huấn luyện chó,trung tâm huấn luyện chó,huấn luyện chó tphcm,
    trường huấn luyện chó tphcm

    ReplyDelete

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages