LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 14, 2019

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MWINGINE MUDA HUU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Lucas Luhende Kija kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Taifa kwa Watu Wenye Ulemavu.

Dkt. Kija ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE).


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages