Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpa
zawadi ya picha ya kuchora ya wanyama wakuu watano (Big Five) Makamu wa
Rais Mtendaji Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la
Japan (JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa alipokutana na kufanya naye
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kinyago ja UJAMAA Makamu wa Rais
Mtendaji Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japan
(JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa alipokutana na kufanya naye mazungumzo
Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 28, 2019.Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John
Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mtendaji
Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japan (JICA) Bw.
Kazuhiko Koshikawa (wa tatu Kushoto) na ujumbe wake baada ya kukukutana
na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaa leo Februari 28,
2019. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana
na Makamu wa Rais Mtendaji Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la
Ushirikiano la Japan (JICA) Bw. Kazuhiko Koshikawa (wa tatu Kushoto) na
ujumbe wake baada ya kukukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini
Dar es salaa leo Februari 28, 2019. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mtendaji
Mwandamizi wa Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japan (JICA) Bw.
Kazuhiko Koshikawa (wa tatu Kushoto) na ujumbe wake walipokutana Ikulu
jijini Dar es salaa leo Februari 28, 2019. Wa pili kulia ni Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇