Rais akiwa ameshika dafu lake tsyari kwa kulinywa baada ya kutayarishiwa na muuzaji (kushoro)
Rais akimlipa muuzaji fedha za madafu yote
Rais akimuuliza bei muuzaji madafu kabla ya kununua
Rais alipokuwa akiandaa fedha za kunua madafu yote
Muuza madafu akiandaa moja baada ya lingine ili kuwapa watu walionunuliwa madafu hayo na Rais
Wananchi wakiwa wamekusanyika eneo la tukio hilo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇