LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 20, 2019

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA QATAR OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Abdullah Jassim Al-Maadadi Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Qatar nchini Mhe. Abdullah Jassim Al-Maadadi akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Abdullah Jassim Al-Maadadi mara baad ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar nchini Mhe. Abdullah Jassim Al-Maadadi mara baad ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages