Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza
na ugeni kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu
Dkt. Maulid Banyani (wa pili kulia) walipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019
ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Dkt. Maulid
Banyani alipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Katikati ni Meneja Masoko na Utafiti Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Itandula kambalagi
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇