CCM Blog, Dar
Mwili wa aliyekuwa kiongozi wa wanamuziki wa Bendi ya Muziki wa dansi ya Vijana Jazz, Abdallah Mgonahazelu (pichani) aliyefariki jana jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili unaagwa leo kuanzia saa mbili asubuhi.
Meneja was Bendi hiyi, James Rock Mwakibinga amesema, taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu Mgonahazelu, Mwananyamala mtaa wa Mwinyuma, jirani na Wami Bar (Cabacana).
Amesema baada ya mwili kuagwa utasafirishwa kwenda mkoani Morogoro kwa ajili ya kwenda kuzikwa, leo Ijumaa saa 10 Jioni, katika Kijiji cha Kinore.
Kwa taarifa habari zaidi mhusika Meneja wa Bendi ya Vijana Jazz, James Rock Mwakibinga, Simu: 0629-999998
Your Ad Spot
Jan 4, 2019
Home
Unlabelled
MWILI WA KIONGOZI WA BENDI YA VIJANA JAZZ ABDALLAH MGONAHAZERU, ALIYEFARIKI DUNIA JANA KUAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
MWILI WA KIONGOZI WA BENDI YA VIJANA JAZZ ABDALLAH MGONAHAZERU, ALIYEFARIKI DUNIA JANA KUAGWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇