Napenda kumshukuru Mungu, mwingi wa Rehma mwenye kuumba mbingu na nchi ambaye ametuwezesha sisi waja wake katika jioni hii tukufu kutujaalia pumzi, uhai na kuweza kukusanyika mahali hapa kwa kunijaalia kwa siku hii tukufu kwa ajili ya kukihami Chama chetu, Chama cha Mapinduzi na kuna swala la maendeleo ya wana Kivule nikianza kuwatukuza wale tunao wapenda , Tumsifu Yesu Kristu Issa Bin Mariam, Kristo, Tumaini letu kama nilivyo tambulishwa na Mzee wangu. Nyunguru mimi ni Mwachumaa naomba niseme.
Ndugu zangu nitumie fulsa hii kuushukuru uongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Tawi la Wazalendo, uongozi huu naushukuru kwa kujali kuona na mimi ninafaa katika watu wanaweza kujumuika na ninyi, sasa ndugu zangu mfungwa hachagui gereza na nitajitahidi na nimemwambia Mweyekiti hapa risala ilikuwa inahitaji mkufunzi na nakata nitumie hadhira hii kufanya darasa la Itikadi ya Chama cha Mapinduzi
Mkae mkijipanga mkijuwe huu ni mwaka wa uchaguzi, kulingana na mapendekezo yatakayokuwa majina yamependekezwa na watu wazuri watakao kuwa wamejaza fomu basi tutawarudishia watu hao
Kwa tabia ya watu wa Kivule na mimi niseme nimkazi wa Kivule, na kwenye utaratibu wa mwancha wanataka mwanachama mwemye msimamo, lakini mjuwe mnabahati kubwa hata Katibu Kata hajui kama Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kama anakaa huku
Watu wenye majina ya Ukatibu iwe mwenezi, uwe wa hamasa iwe wa UVCCM, uwe wa EMAU usijaze fom kasome kwenye kanuni za uchaguzi na kasome kwenye kanuni za kuwapata viongozi wa Dola
Kazi ni zamuda wote, lakini wewe ni refari unaye endesha vikao vya kuwachuja, kuwasimamia na baadaye kuwanadi katika majukwa na kuhakikisha wanashinda, unaikimbia kazi yako ya msingi uliyoiomba mika miwili iliyopita unakimbilia kazi ambayo si yako.
Na kwenye utaratibu wa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi kwenye katiba wanataka mwanachama mwenye msimamo thabiti uliyojitokeza waziwazi wewe unataka uwenyekiti wa Chama ili usimamie Serikali.
Sasa unaona hapana ukimbie huku uwende kwenye Serikali ili usimamiwe na Chama, wakati Mwenyekiti wa Chama na mwenyekiti wa Serikali mwenyekiti wa Chama mkubwa kuliko kuliko Serikali, Mimi hapa ninawabunge wanane nina DC , RPC ninavyombo vyote vya Ulinzi na Usalama.
Sasa niombe tusiwekeane gogo mapema
Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Kivule na mshehereshaji katika shughuli mbalimbali, MC Bonge, Hemedi Pogwa (kushoto), akipokea kadi ya Chama hicho kwa Mzee, Kerato Mseti (wa tatu kulia) akizisajili kadi za zamani kwenda kwenye mfumo wa kisasa wa mashine ya BVR kabla ya uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja uliyofanyika Kata ya Kivule, Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo
Wanachama wakiburudika na nyimbo za Chama zilizokuwa zikipigwa wakati wa uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo
Wanachama wakimzikiliza Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wanachama hao
Mwenyekiti wa Tawi la Wazalendo, Mohamedi Maulidi (kushoto) akisalimiana na Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma wakati alipowasili katika Uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo sambaba na zoezi la kuzisajili kadi za zamani kwenda kwenye mfumo wa kisasa wa mashine ya BVR
Katibu Mwenezi wa CCM, Kata ya Kivule na mshehereshaji katika shughuli mbalimbali, MC Bonge, Hemedi Pogwa alizungumza jambo wakati wa Uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo sambaba na zoezi la kuzisajili kadi za zamani kwenda kwenye mfumo wa kisasa wa mashine ya BVR
Katibu Mwenezi wa Tawi la Wazalendo, Naomi Nyenyembe ambaye alishirikiana na Mume wake, Bruno Mateo kutoa eneo la Ofisi hiyo, akiwakaribisha wageni wakati wa uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo
Wanachama wakipunga mikono wakati walipotambulishwa na Katibu Mwenezi wa Tawi la Wazalendo, Naomi Nyenyembe (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo
Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivule Hemedi Nyunguru (katikati) akiwasalimia wanachama mara alipo tambulishwa na Katibu Mwenezi wa Tawi la Wazalendo, Naomi Nyenyembe (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo. kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma, Katibu wa CCM Kata ya Kivule Isaac Kibiti na Katibu wa Tawi la Wazlendo, Ally Msusa,
wakati wa uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo
Wanachama wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala Ubaya Chuma
Wanachama
Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma akizungumza na wanachama wakati wa uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo
Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (katikati) akiwaomba wanachama kujitokeza katika kubadilisha kadi kwenda katika mfumo mpya Mashine ya BVR,
wakati wa uzinduzi wa kwanza wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo, Kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Tawi la Wazalendo, Mohamedi Maulidi na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivule Hemedi Nyunguru.
Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma akizindua Tawi jipya la Wazalendo kutimiza mwaka mmoja , uliyofanyika Kata ya Kivule Mtaa wa Kerezange njia panda ya kwenda Shule ya Msingi Msitu Mtaa Wazalendo
Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma katika picha ya pamoja na wanachama
Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma katika picha ya pamoja na wazee wa matawi mbalimbali
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇