LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 13, 2018

BASI LA MWENDOKASI LAGONGANA NA GARI JINGINE

 Wananchi eneo la Gerezani Barabara ya Msimbazi Dar es Salaam wakiangalia ajali ya Gari lenye namba za usajili T 212 CD 89 liligongwa na Basi la mwendo kasi lenye namba T 804 DGV wakati lilipokuwa likiingia katika kituo cha mabasi hayo Gerezani  

 Basi la mwendokasi likitoka kituo hicho huku basi lingine likisubili kuingia katika mlango wa kutokea 
  Mabasi ya mwendokasi yakiingia katika mlango wa kutokea

Basi la mwendokasi kulia likiingia katika mlango wa kutokea. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)  

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages