LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2018

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wakulima wa mpunga alipotembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Lower Moshi katika eneo la Mabogini ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia aina mbali mbali za kahawa wakati wa maandalizi ya kujaribiwa kwenye maabara ya shamba ya Kahawa la Kilimanjaro Plantation Ltd.
 Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Polisi Uru Kusini.Makamu wa Rais yupo mkoani Kilimanjaro katika ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za Maendeleo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Mhe. Anthony Komu wakati wa mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi Uru, kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi.
 Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Anne Kilango Malecela akisalimia wakazi wa Uru wakati wa mktano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye yupo mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za maendeleo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Uru Kusini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Uru.Makamu wa Rais yupo kwenye ziara ya kukagua na kuhamasisha shughuli za kimaendeleo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia mpunga uliovunwa tayari wa Bw. Emmanuel Paschal(kushoto) wakati alipotembelea Skimu ya Umwagiliaji ya Lower Moshi katika eneo la Mabogini ikiwa sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuhimiza shughuli za kimaendeleo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages