LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2018

TAASISI YA IMETOSHA YATOA MSAADA KWA MWENYE UALBINO ALIYEPATA UPOFU WA MACHO SHINYANGA

Taasisi ya Imetosha ya Jijini Dar es salaam imemtembelea na kumpatia msaada bwana Charles Kulwa Jagadi (41) mwenye Ualbino mkazi wa kijiji cha Mhunze kata ya Kishapu wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ambaye amepata upofu wa macho kutokana na ugonjwa wa saratani ya macho unaomsumbua uliopelekea jicho moja kung’olewa

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages