LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2018

WAZIRI NDALICHAKO: VYUO KUHAKIKISHA VINAPAKIA MATUKIO KWA WAKATI

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako akizungumza jambo katika Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam jana (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 
Baadhi ya wahitim wakimsikiliza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako katika Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam jana 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako akifungua rasmi Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam, kulia ni Katibu Mkuu Prof. Joseph Buchwenshaija na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi Dkt. Esther Ishengoma 
Abubakari Said akiwa katika pozozi kabla ya mahafali hayo ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako ambapo alikuwa mgeni rasmi wa Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam
Abubakari Said katika pozi
Abubakari Said akiidaka kofia yake 


Baadhi ya wahitim






Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako akiwapungia mkono wahitim wakati alipowasili katika viwanja vya chuo hicho
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako (katikati) akishiriki kuimba wimbo wa Taifa katika Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam, kulia ni Katibu Mkuu Prof. Joseph Buchwenshaija na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi Dkt. Esther Ishengoma 


Mkaguzi msaidizi wa Jeshi la Polisi, Quintin Mayowera akiiongoza Bendi ya jeshi hiyo wakati ilipokuwa ikitowa burudani wakati wa mahafali ya 53 ya Chuo hicho 


Ngoma ya Kibati ya Jeshi la Polisi ikitoa burudani wakati wa Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam


















Abubakari Said akikata keki wakati wa Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam, kulia ni dada yake Amina Mohamed
Abubakari Said akimlisha kipande cha keki shangazi yake Rehema Ibrahim wakati wa Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam
Abubakari Said akimlisha kipande cha keki baba yake Said Ibrahim wakati wa Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam
Abubakari Said akimlisha mama yake SubiraPinde kipande cha keki wakati wa Mahafali ya 53 ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam



















No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages