LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 15, 2018

SERIKALI YASAINI MKATABA WA MKOPO NAFUU WA SHILINGI BILIONI 440.703 PAMOJA NA MSAADA WA SH. BILIONI 45 KUTOKA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB) KATIKA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango  Doto James (kulia) akiwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) Alex Mubiru wakisaini mikataba ya makubaliano ya mkopo wa masharti nafuu wa  jumla ya Shilingi bilioni 440.703 pamoja na msaada wa Shilingi bilioni 45 ambapo fedha hizo zote zitatumika katika Mradi mkubwa wa umeme mkoani Kigoma, Bajeti Kuu ya Serikali, Kilimo pamoja na mambo mengine ya kimaendeleo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages