|
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwa na tuzo ya pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka (wapili kushoto) katika Kongangamano la Jumuiya hiyo kumpongeza Rais Dk. Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM, lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Queen Mlozi. |
|
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akionyesha tuzo hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam. Kate Kamba. |
|
Baadhi ya waalikwa na washiriki wakiwa kwenye Kongamano hilo |
|
Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Queen Mlozi akiznguma wakati wa kongamano hilo |
|
Baadhi ya washiriki na waalikwa wakiwa kwenye Kongamano hilo. |
|
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwafongo akichati jambo na Mwenyekiti wa zamani wa UWT Sophia Simba kwenye Kongamano hilo
Shamrashamra ukumbini⇩ |
|
Mwenyekiti wa UWT Gaudentia Kabaka akizungumza kwenye Kongamano hilo |
Viongozi meza kuu wakiwa katika shamrashamra kwenye kongamano hilo
|
Ujumbe was TRC kwenye Kongamano hilo |
|
Waziri wa madini Angel Kairuki akizungumza kwenye Kongamano hilo |
|
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza kwenye Kongamano hilo. |
|
Vijana Ben Mwanantala wa TRC na Shaban Shaban wa CCM HQ wakichat kwenye kongamano hilo. |
|
Katibu Mwenezi was CCM Humphrey Polepole akichati jambo na Katibu Mkuu was UWT Mwalimu Queen Mlozi wakati wa Kongamano hilo |
|
Ahmad Michuzi wa Michuzi Blog |
|
Vijana was CCM kwenye Kongamano hilo |
|
Chakula kwenye kongamano hilo |
|
Dada Neli Msuya kutoka DAWASA akipunga mkono ulipotambulishwa uwepo wa DAWASA kwenye Kongamano hilo. |
|
Mjumbe wa Bodi ya DAWASA Spora Liana ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, akizungumza kuhusu DAWASA inavyotoa huduma bora za maji katika kumuunga mkono Rais Dk. Magufuli katika utekelezaji wa Ilani ya CCM. |
|
Dada Neli Msuya akimpongeza Liana baada ya kuwasilisha vizuri mada kwenye kongamano hilo |
|
Mwenyekiti was UWT akikata keki kabla ya wajumbe kwenda kula chakula kwenye kongamano hilo |
|
Washiriki na waalikwa wakiserebuka kwa muziki wa Peter Msechu kwenye kongamano hilo |
|
"HONGERA, SHUGHULI IMENOGA......!" Inaonekana ndivyo Katibu Mkuu mstaafu wa UWT Amina Makilagi alikuwa akimwambia Katibu Mkuu wa sasa wa UWT Queen Mlozi mwishoni mwa kongamano hilo. PICHA ZOTE NA BASHIRI NKOROMO. Ushauri, maoni au lolote kuhusu post hii piga simu: 0712498008 |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇