LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 8, 2018

KAMPUNI YA KICHINA YA CRJ E NA BEIJING INSTITUTE WATOA ZAWADI VITU MBALIMBALI KIWA SHULE YA GARAGAZA, KIBAHA MKOA WA PWANI, LEO

 Mwakilishi wa Kampuni ya Beijing Insitute for Architectureal Desining, Young Meng, na mwakilishi  wa Kampuni ya Ujenzi ya CRJE ya China Shi  Yang (Wapili kulia) wakimkabidhi mpira  kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Garagaza Shanabi Langweni,  wakati Wachina hao walipotoa zawadi mbalimbali ikiwemo mipira, mafuta ya kupikia na mchele kwa shule hiyo, leo. Kampuni hizo ndizo zinazofanya ujenzi wa Chuo cha Uongozi  cha Mwalimu Nyerere katika eneo la Kibaha kwa Mfipa. Wapili kushoto ni Msimamizi wa Ujenzi wa Chuo hicho Kulwa Milonge.
 Msimamizi wa Ujenzi wa Chuo cha Uobgozi cha Mwalimu Nyerere  eneo la Kibaha mkoa wa Pwani Kulwa Milonge akizungumza wakati wa utoaji zawadi hizo, leo
Wawakilishi wa Kampuni ya Beijing Insitute for Architectureal Desining, na Kampuni ya Ujenzi ya CRJE ya China Shi  Yang (Wapili kulia) wakimkabidhi mpira  kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Garagaza Langweni

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages