Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo akiwa naEster Simon baada ya kumtembelea leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako pacha walifanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha kutokana na kuzaliwa wakiwa wameungana.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo akisalimiana na Ester Simon baada ya kumtembelea wodini leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Prof. Lawrence Museruakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo mara baada ya kuwatembelea watoto pacha leo.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Museru na Sister Ester Mwambogoja.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇