LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 4, 2018

WAGONJWA 36 WAFANYIWA UPASUAJI KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)

  Daktari wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Balsam Care & Care  la nchini Saudi Arabia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo bila kufungua kifua kwa kutumia mtambo wa Cathlab kwa njia ya kutoboa tundu dogo sehem ya paja katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika kwenye Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa 26 wamefanyiwa upasuaji huo na hali zao zinaendelea vizuri.

 Madaktari bingwa wa Upasuaji wa Moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Balsam Care & Care  la nchini Saudi Arabia wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting) katika  kambi maalum ya matibabu inayoendelea katika Taasisi hiyo.  Jumla ya wagonjwa 10 wamefanyiwa upasuaji wa kufungua kifua na hali zao zinaendela vizuri.

Picha na JKCI

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages