Friday, October 19, 2018

ISSAC MUYENJWA GAMBA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mtangazaji Mtanzania wa Radio Ujerumani (DW) Isaac Muyenjwa Gamba amefariki dunia hukohuko Ujerumani. Gamba akiwa Tanzania aliwahi kutangaza Taarifa za habari na michezo katika vituo vya radio vya RFA, UHURU FM na Radio One na ITV. 

Share:

Select Language

CCM Blog VIEWERS

All posts in this blog

General comments/advise

Google+ Followers

CCM Blog. Powered by Blogger.