LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 23, 2018

WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA KITAIFA YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MV. NYERERE KATIKA KISIWA CHA UKARA MKOANI MWANZA, JUZI.

WAZIRI MKUU, Kasimu Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi, wakati wa mazishi ya Kitaifa ya waliofariki dunia katika kukutokana na kupinduka Kivuko cha Mv. Nyerere eneo la Kijiji cha Bwisa, Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, juzi ambapo zaidi ya watu 200 wamefariki kutokama na ajali hiyo. Mazishi hayo yamefayika leo katika kijiji hicho kilichopo katika Kisiwa cha Ukara kwenye wilaya hiyo ya Ukerewe. Miili iliyozikwa no ya watu Tisa wakiwemo wanne ambao hawakutambuliwa.


No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages