LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 23, 2018

WAZIRI KAMWELWE ASEMA WALIOFARIKI DUNIA HADI MCHANA HUU NI 224

Waziri Uchukuzi, Isack Kamwelwe amesema kivuko cha MV Nyerere kilikuwa kimebeba watu 265 tofauti na uwezo wake wa kubeba watu 101.

   
Kawele ametoa kauli hiyo leo Jumapili Septemba 23, 2018  wakati wa ibada ya Mazishi ya miili ambayo haijatambuliwa na ndugu zao.

Amesema idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia ajali hiyo  iliyotokea Ukara Wilayani Ukerewe imefikia 224. Kati ya hao; 
  1. Wanawake 126
  2. Wanaume 71, 
  3. Watoto wa kike 17, 
  4. Watoto wa kiume 10, 
  5. Wanaozikwa leo ni 9.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages