Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka, Mawaziri pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika ujenzi wabarabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa kwa kiwangocha lami mara baada ya kuweka jiwe la msingi
Bariadi MkoaniSimiyu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
mamia ya wananchi wa Bariadi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi katika
ujenzi wa barabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami

Sehemu ya Wananchi wa Bariadi waliohudhuria katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi
ujenzi wa barabaraya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami
Katapila likiwa linaendelea na kazi ya ujenzi wabarabara ya Bariadi-Maswa km 49.7 itakayojengwa katika kiwango cha lami katika eneo la Bariadi mkoani Simiyu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
wa Bariadi katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi.
Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge akifurahia jambo na Mbunge mwenzake wa Misungwi Charles Kitwanga wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. JohnPombe Magufuli katika sherehe za uwekaji wa jiwe hilo la msingi.
Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge akifurahiajambo na Mbunge mwenzake wa Misungwi Charles Kitwanga wakatiwa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JohnPombe Magufuli katika sherehe za uwekaji wa jiwe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiondoka mara baada ya kuweka jiwe lamsingi mradi wa barabara ya Bariadi-
Maswa km 49.7, Bariadimkoani Simiyu. (PICHA NA IKULU)
Wananchi waliojitokeza wakati wa uwekaji jiwela msingi ambalo liliwekwa na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Magufuli
Your Ad Spot
Sep 8, 2018
Home
Unlabelled
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WAUJENZI WA BARABARA YA BARIADI-MASWA KM 49.7 ITAKAYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI BARIADI MKOANI SIMIYU
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WAUJENZI WA BARABARA YA BARIADI-MASWA KM 49.7 ITAKAYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI BARIADI MKOANI SIMIYU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇