Miis Kinondoni Queen Elizabeth, ameibuka kuwa Miss Tanzania 2018 katika shindano la New Miss Tanzania 2018 lililofanyika usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2018 jijini Dar es Salaam.
Katika shinda no hilo Queen Elizabeth amewashinda warembo wengine 19 waliokuwa wakiliwinda taji hilo kubwa kabisa nchini katika tasnia ya urembo.
Hamisa Mobeto naye alikuwepo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇