Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Yamungu Kayandabila akizungumza katika Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma. Mafunzo hayo yalilenga kuwaelimisha Zaidi Waheshumiwa Wabunge ili kujua kazi za Benki Kuu. Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai aliwaongoza wabunge hao kwenye semina hiyo.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akifuatilia kwa makini maelezo ya mwezeshaji katika Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Sehemu ya Wabunge wakifuatilia Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote yaliyofanyika Septemba 8, 2018 katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Sehemu ya Wabunge wakifuatilia Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa Wabunge wote yaliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇