LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 20, 2018

MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA JIWE KATA YA IGOGO MWANZA AFANIKIWA KUTATUA MIGOGOTO YA MIPAKA

 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Jiwe Mwanza, Salehe Bilali (wa pili kusho) afanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mipaka ya nyumba Iiliyokuwa imeshindikana zaidi ya miak 25 katika Kijiji cha Bitale Kigoma Vijijini. wanao shuhudia ni viongozi wa Kijiji na wananchi wa eneo hilo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)  
 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Jiwe Mwanza, Salehe Bilali (wa pili kusho) afanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mipaka ya nyumba Iiliyokuwa imeshindikana zaidi ya miaka 25 katika Kijiji cha Bitale Kigoma Vijijini. wanao shuhudi ni viongozi wa Kijiji na wananchi wa eneo hilo, (wa nne kushoto) ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Bitale Sokoni, John Muyaya

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages