LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 26, 2018

MKANDARASI ALIYETELEKEZA MARADI WA MAJI GALIJEMBE APATIKANA

  Mhusika kutoka kampuni ya Black Dot iliyopewa kandarasi ya mradi wa maji Galijembe mkoani Mbeya, na kuutelekeza, pamoja na Mhandisi aliyehusika katika mradi huo, wakitoa maelezo yao kwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso (Mb), hayupo pichani.

   Wahusika walioshiriki katika kusimamia  mradi wa Maji Galijembe mkoani Mbeya, Wahandisi  wa majina na mkandarasi-kampuni ya Black Dot,  wakiwa katika gari la Polisi ili kusaidia kuhusu mkandarasi kulipwa na mradi kutokamilika.

  Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso  (Mb), akiongea na vyombo vya habari katika eneo la mradi wa maji Tunduma. Mkandarasi wa mradi huo kapewa mwezi mmoja kukamilisha kazi.

  Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Profesa Kitila Mkumbo (kushoto) akimkaribisha Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) kuongea na watumishi wa Mamlaka ya Maji jijini Mbeya.

   Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso  (Mb), akiongea na Wahandisi wa Maji wa mkoa wa Mbeya kuhusu uwajibikaji katika miradi ya maji.
  Watumishi wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira jijini Mbeya wakiwa katika kikao na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso  (Mb), hayupo pichani, jijini Mbeya.

  Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso  (Mb), akiangalia maendeleo ya ujenzi wa chujio la maji katika mradi wa maji wa Vwawa mkoani Mbeya.

  Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso  (Mb), akiangalia maendeleo ya ujenzi wa chujio la maji katika mradi wa maji wa Vwawa mkoani Mbeya.

 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso  (Mb), akipanda kukagua  moja ya tanki la kuhifadhi maji la mradi wa Mlowo mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages