Mama mzazi wa mwanafunzi wa Sekondari ya Kimbiji Queen Mandele, aliyekufa kwa maji, Happy Mathew (wa pili kushoto) akiwa katika makaburi ya Kongowe mwisho Mkoa wa Pwani kabla ya kuaga dunia leo Agosti 01, 2018, Habari ya kifo cha mama wa marehe imethibitishwa na mume wa marehemu, Mzee Mandele kuwa mkewake amepoteza maisha leo nyumbani kwake na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa Temeke kwa msaada zaidi na kuambiwa kuwa kisha poteza maisha na mwili umehifadhiwa Hospitalini hapo, mipango ya mazishi inafanywa vyumbani kwa marehemu eneo la Bakwata Kongowe imedhibitishwa na mume wa marehemu
|
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇