Mwili wa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Marehemu Shadrack Sagati, unatarajiwa kuagwa Alhamisi Agosti 2, 2018 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mwenezi wa chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Dkt. Cosmas Mwaisobwa leo Agosti 1, 2016 imesema, shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Sagati itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana. Taarifa kamnili hii hapo chini,
Your Ad Spot
Aug 1, 2018
Home
Unlabelled
MWILI WA MAREHEMU SHADRACK SAGATI KUAGWA ALHAMISI AGOSTI 2, 2018 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
MWILI WA MAREHEMU SHADRACK SAGATI KUAGWA ALHAMISI AGOSTI 2, 2018 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇