Waziri
wa Maji Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) akiangalia maendeleo ya ujenzi wa
mradi wa mabwawa ya kutibu maji taka wa Bweri, Musoma.
Waziri
wa Maji Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) akisikiliza maelezo kuhusu mfumo wa
kutibu maji katika mradi wa Musoma Bukanga.
Waziri
wa Maji Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb), mwenye kofia, angalia hali ya chanzo
cha maj Mugango Kiabakari.
Waziri
wa Maji Mhe. Profesa Makame Mbarawa (Mb) akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mara
Mhe. Adam Malima (wa pili kulia) kabla
ya kuanza kukagua miradi ya maji wilayani Rorya.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇