HONGERA SANA NDUGU CHOLLAJE ALLY MOHAMED CHOLLAJE KUWA KATIBU WA SIASA NA ORGANIZATION JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA
Tunampongeza Kada Mwenzetu, Mkazi Mwenzetu, Mlezi Wetu na Mwalimu Wetu CHOLLAJE ALLY Kuwa KATIBU WA SIASA NA ORGANIZATION JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA
Ndugu Chollaje amewahi kuwa Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Sinza-A, Kiongozi wa UVCCM/CCM kwa Nafasi Mbalimbali Ngazi ya Tawi la Sibza B, Katibu Mwenezi Kata ya Sinza, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kinondoni, Katibu wa Jumuiya ya Wazazi kwa ngazi ya Wilaya na Mkoa Kwa zaidi ya Miaka mitano.
Pia alikuwa Kati ya Viongozi wa Timu ya mpira wa miguu ya Abajalo FC ya Sinza kwenye miaka ya 2000.
Tunakutakia Kazi Njema Kijana Mwenzetu na Kada Mwenzetu Kutoka Kata ya Sinza.
Wako
OMARI RAJABU- KATIBU UHAMASISHAJI UVCCM KATA YA SINZA 2017-22
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇