LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 28, 2018

TANZIA


  Watoto wa Marehemu Mzee, Kahabuka waishio Dar es Salaam, Wakiongozwa na Dada yao Professa, Febronia Kahabuka wanakisitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa kilichotokea 26, Agosti 2018 katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu, taratibu za  Mazishi ya kumpumzisha mama yao mpendwa  yanafanyika kijiji cha Ihangiro, Wilaya ya Muleba, Mkoa wa Kagera ambapo wanatarajia kumpumzisha katika nyumba yake ya milele tarehe 30, Agosti 2018, Kijiji hicho. Salamu ziwafikie ndugu na jamaa popote walipo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages