Pichani Samwel katika pozi baada ya kupokea Komonio ya kwanza katika Kanisa la ST. Imakulata Upanga Dar es Salaam
Samweli katika pozi
Babu mdogo wa Samweli, John Tick akifungua kwa Sala hafla ya sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Salenda Club Upanga Dar es Salaam
Samweli Kombo (wa tatu kulia) katika picha ya pamoja na marafiki zake na mzazi wa rafiki yake akiwemo mzazi wa Samwel, Dkt. Ewaldo Kombo (kushoto)
Samweli katika picha na shangazi zake na bibi mzaa baba, Romana Tilia (aliye kaa kulia)
Samwel Komba (wa pili kushoto aliyesimama) katika picha ya pamoja na familia nyumbani kwa wazazi wake, eneo lililopo ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kwenda katika Ukumbini
Shandazi yake Samweli akisalimiana na mama yake, babu na bibi wa Samwel baada ya kufika ukumbini
Baba mkubwa wa Samwel Dkt. Erick Komba ambaye ni Dr, katika Chuo Kikuu (SUA) cha Morogoro akiwa na familia wakati wa hafla fupi ya kumpongeza kijana wao kwa hatua aliyofikia
Mama mzazi wa Samwel, Melania Komba ambaye ni mfanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili akisalimiana na wifi zake
Mama mzazi wa Samwel , Melania Komba (katikati) akiwa na wifi zake
MC. ambaye ni Baba mkubwa wa Samwel Dkt. Gabriel Komba Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro akindesha hafla hiyo
Samwel akiingia ukumbini akiwa na wenzake
Baba mkubwa wa Samwel Dkt. Erick Komba (aliyevaa shati jeupe nyuma ) ambaye ni Dr, Chuo Kikuu (SUA) cha Morogoro akiwa na familia yake katika picha ya pamoja na wazazi wa Samwel wakati wa hafla fupi ya kumpongeza kijana wao kwa hatua aliyofikia
Samweli Komba (wa pili kushoto) akikata keki akiwa na marafiki zake
Dkt. Ewaldo Kombo akimzawadia mwanaye kitabu cha Biblia, kulia ni mama mzazi wa Samwel, Melania Komba
Samwel akipokea zawadi yenye kitita cha fedha ya kuanzia kufungulia Akaunt ya Benk toka kwa Baba wa ubatizo Godfrey Komba (kulia) na kushoto ni mama Komba, mama wa ubatizo
Samwel Komba akitoka ukumbini akiwa na rafiki zake, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Your Ad Spot
Aug 19, 2018
Home
Unlabelled
SAMWEL APATA KOMONIO YA KWANZA
SAMWEL APATA KOMONIO YA KWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇