Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Florens Luoga (wa tatu toka kushoto waliokaa mbele) wakati akitoa taarifa ya Benki Kuu kuchukua usimamizi wa Bank M Tanzania Plc (Bank M) kutokana na upungufu mkubwa wa ukwasi kwa benki hiyo.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Florens Luoga (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya Benki Kuu kuchukua usimamizi wa Bank M Tanzania Plc (Bank M) kutokana na upungufu mkubwa wa ukwasi, kulia ni Naibu Gavana wa Uthabiti wa sekta ya Kifedha, Dkt. Bernard Kibesse na kushoto ni Naibu Gavana wa Sera za Uchumi na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Florens Luoga (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya Benki Kuu kuchukua usimamizi wa Bank M Tanzania Plc (Bank M) kutokana na upungufu mkubwa wa ukwasi kwa benki hiyo, kulia ni Naibu Gavana wa Uthabiti wa sekta ya Kifedha, Dkt. Bernard Kibesse na kushoto ni Naibu Gavana wa Sera za Uchumi na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila.
Naibu Gavana wa Uthabiti wa sekta ya Kifedha, Dkt. Bernard Kibesse (kulia) akiteta jambo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Florens Luoga wakati Gavana akitoa taarifa ya Benki Kuu kuchukua usimamizi wa Bank M Tanzania Plc (Bank M) kutokana na upungufu mkubwa wa ukwasi kwa benki hiyo, kushoto ni Naibu Gavana wa Sera za Uchumi na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila.
Picha na MAELEZO
02/08/2018
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇