LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2018

BREAKING NEWS: MZEE MAJUTO AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji mkongwe nchini mzee Majuto amefariki dunia leo Agosti 8  saa mbili usiku huu baada ya kulazwa siku chache zilizopita katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Mtoto wake aitwaye Abuu amethibitisha habari hizi

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages