LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 22, 2018

TANZANIA NA KOREA KUSAINI ZAIMARISHA USHIRIKIANO, ZAONDOA ZUIO LA VISA KWA WANADIPLOMASIA NA WATUMISHI WA NCHI MBILI

Katika siku ya kwanza ya ziara hiyo, Nak-yeon, ametia saini makubaliano ya kuondoa zuia la kibali cha kuingia nchi mbili (Viza) ambapo sasa watumishi na wanadiplomasia wa Tanzania na Korea Kusini, wataweza kuingia nchi hizo bila kibali hicho. Kwa upande wake Waziri Mkuu wa Tanzania amesifu ushirikiano bora kati ya nchi mbili, sambamba na kuitaja serikali ya Seoul kuwa inayoikopesha Tanzania kwa masharti nafuu.
Tunijiunge na mwandishi wetu wa jijini Dar es Salaam, Ammar Dach kwa taarifa kamili…………./

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages