Mbunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya Chadema Julius Kalanga Laizer, usiku wa kuamkia leo amejivua uanachama wa Chadema, amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge na vyeo vyake vyote ndani ya Chadema na Kujiunga na CCM.
Bwana Julius Kalanga Laizer amepokelewa na Kamaradi Humphrey Polepole Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Imetolewa na,
IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM
Your Ad Spot
Jul 31, 2018
Home
Unlabelled
CCM YAFAGIA UPINZANI KWA LOWASSA, MBUNGE WA MONDULI AHAMIA CCM USIKU WA KUAMKIA LEO
CCM YAFAGIA UPINZANI KWA LOWASSA, MBUNGE WA MONDULI AHAMIA CCM USIKU WA KUAMKIA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇