Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Chama cha Kikomunist cha Cuba, Rosario Penton Diaz, jijini Havana nchini humo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula akiwa katika mazungumzo na viongozi wa Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Cuba
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula, Mkutano na Naibu Waziri Mambo ya nje Abelardo Moreno mjini Havana
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇