LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 25, 2018

CHAMA CHA MAPINDUZI CHAENDESHA SEMINA YA MAFUNZO YA KIMKAKATI KWA MAKATIBU WA SIASA NA UENEZI - ZANZIBAR

Tarehe 24 Juni 2018, Katibu Mwenezi wa CCM Taifa Ndg. Humphrey Polepole ameendesha semina ya mafunzo ya kimkakati kwa Makatibu wa Siasa na Uenezi wa Majimbo, Wilaya na Mikoa yote ya Zanzibar kwa lengo la kuongeza ueledi, maarifa na ujuzi.

Semina hiyo ya Mafunzo imeandaliwa na Idara ya Itikadi na Uenezi ya Kamati Maalum ya CCM Zanzibar na kusimamiwa na Bi. Catherine Peter Nao Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar

 KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Imetolewa na,

IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages