LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 21, 2018

RAIS DK. MAGUFULI APOKEA GAWIO LA SERIKALI LA SH. BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL NA KUZINDUA HUDUMA ZA SHIRIKA HILO NCHI NZIMA, LEO

Rais Dk. John Pombe Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali  toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages