LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 11, 2018

RAIS DK. MAGUFULI AMTEUA FIDELIS MUTAKYAMIWA KUWA MWENYEKITI WA BARAZA LA TAIFA LA USHAURI WA ARDHI, LEO

Raiswa Jamhuriya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli amemteua Fidelis Mutakyamirwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Ushauri wa Ardhi.

Taarifailiyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema, leo kuwa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mutakyamirwa umeanza leotarehe 11 Juni, 2018.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages