Mdau asante kwa kuperuzi magazeti ya leo Alhamisi Mei 3, 2018, katika Blog hii ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM Blog), tunakutakia siku njema. Kumbuka mwisho wa kupata huduma hii ya magazeti na habari nyingine ni kesho Mei 5, 2018, kwa kuwa Blog zote ambazo hazitakuwa zimesajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) hazitaruhusiwa kufanya kazi. Hata hivyo CCM ipo katika Juhudi za kuisajili Blog hii. Admin |
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇