Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Wachapshaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani Rhoda Kangero na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kwenda ofisini alipowasili, leo
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamadini na Michezo Dk harrison Mwakyembe (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Wachapshaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani Rhoda Kangero kwenda ofisini alipowasili, leo. katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Hassan Abas
Dk Mwakyembe akisalimia kaimu Mhariri wa Habari wa UPL Ndugu Mganga alipowasili UPL
Dk Mwakenye akiendelea kusalimia badhi ya wafanyakazi wa UPL
Dk Mwakenye akiendelea kusalimia badhi ya wafanyakazi wa UPL
Dk Mwakenye akiendelea kusalimia badhi ya wafanyakazi wa UPL
Dk Mwakyembe akipelekwa kwenye ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL
Dk Mwakenye akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero
Dk Mwakenye akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL. Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Rhoda Kangero
Kangero akitoa maelezo mafupi kwa Dk Mwakyembe kuhusu UPL. Kulia ni Dk Hassan Abas na baadhi ya viongozi wa UPL
Badhi ya viongozi wa UPL
Mtaalam wa Online ndugu Shechambo akifuatilia kwa makini mazungumzo ya Dk Mwakyembe katika ofisi ya Mhariri Mtendaji wa UPL
Dk Mwakyembe akizungumza na uongozi wa UPL
Dk Mwakyembe akiingia katika chumba cha habari cha UPL
Akisalimia wafanyakazi
Akisalimia wafanyakazi
Akisalimia wafanyakazi
Mhariri wa gazeti la Uhuru weekend jane Mihanji akizungumza jambo kumweleza Dk Mwakyembe.
Baadhi ya wafanyakazi wa UPL wakimsikiliza Dk Mwakyembe
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa UPL
Your Ad Spot
Feb 16, 2018
Home
Unlabelled
WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI ZA UHURU PUBLICATIONS LTD JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI ZA UHURU PUBLICATIONS LTD JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇