![]() |
| Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa (kulia) akishiriki kucheza wimbo wa Kisukuma katika mapokezi hayo |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Seif Shaban Mohammed akishauriana jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Bara Burhan Ruta wakati wa mapokezi hayo |
![]() |
| Baadhi ya viongozi waliohudhuria mapokezi hayo |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Abdallah Haj Haidar akizungumza wakati wa mapokezi hayo |
![]() |
| Vijana wakimshangilia |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Bara Burhan Ruta akizungumza wakati wa mapokezi hayo |
![]() |
| Baadhi ya viongozi waanua mikono baada ya kutambulishwa |
![]() |
| Mmoja wa viongozi kutoka makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania akisalimia baada ya kutambulishwa |
![]() |
| Vijana wakishangilia baada ya kutambuliswa uwepo wao kwenye mapokezi hayo |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Seif Shaban Mohamed akizungumza wakati wa mapokezi hayo |
![]() |
| Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa akishangiliwa alipopanda jukwaani kuzungumza |
![]() |
| Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk Edmund Mndolwa akihutubia wakati wa mapokezi hayo |
![]() |
| Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima akimpongeza Dk Mndolwa baada ya kuhutubia. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo. Kisha zilifuatia picha za pamoja |





























No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇