LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2017

RAIS DK. MAGUFULI AAGIZA BARABARA YA MUTUKULA-MINZIRO IJENGWE

Rais Dk Magufuli akizungumza Mutukula
NA GERSON MSIGWA, MUTUKULA
Rais Dk. John Pombe Magufuli ameiagiza WizarayaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutafuta fedha na kujenga barabara ya Mutukula – Minziro ye nye urefu wa kilometa 6 ilikurahisisha usafiri wa watu na mizigo.

Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo tarehe 11 Novemba, 2017 katika Mji wa Mutukula mpakani mwa Tanzania na Uganda baada ya kupokea kero za wananchi waliokusanyika jirani na geti la kuvuka paka huo ambao wamedai kukosekana kwa barabara hiyo kunawalazimu kutumia barabara ya kuzunguka Kyaka.

Pamoja na kumtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kujenga barabara hiyo. Rais agufuli pia amewataka viongozi wa Mkoa wa Kagera kufanyia kazi madai ya wananchi waliolalamikia kupata usumbufu katika kizuizi cha Kyaka jirani na mto Kagera.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages