Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akiangalia Tungule wakati alipotembelea Biashara za Kilimo za Ushirika wa Mtule
AMCOS leo pamoja na Viongozi wengine wakati
alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo kupata maelezo akiwa katika ziara ya
kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya Kusini Unguja,(kulia)
Mwenyekiti wa Ushirika wa Mtule AMCOS Bw.Mgana Khamis Zidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiangalia
Mabilingani wakati alipotembelea
Biashara za Kilimo za Ushirika wa Mtule AMCOS leo pamoja na Viongozi
wengine wakati alipotembelea katika
Ofisi ya Ushirika huo kupata maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi
mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya Kusini Unguja,(wa pili kulia) Mkuu wa
Wilaya ya Kusini Unguja pia kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Idrisa
Kitwana Mustafa
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)
alipokuwa akiuliza jambo wakati alipotembelea Biashara za Kilimo za Ushirika wa
Mtule AMCOS leo pamoja na Viongozi wengine (Pichani) matikiti yaliyouzwa kati
ya Shilingi za Kitanzania Elfu tano Mpaka Elfu Nne wakati alipotembelea katika
Ofisi ya Ushirika huo kupata maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi
mbali mbali ya Wananchi wa Wilaya ya Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti
wa Ushirika wa Mtule AMCOS Bw.Mgana Khamis Zidi (katikati) pamoja na Viongozi
wengine wakifuatana mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Ushirika huo leo na
kupata maelezo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya Wananchi
wa Wilaya ya Kusini Unguja
Baadhi ya Akina Mama
wa Ushirika wa Mtule AMCOS walipokuwa wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati
alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo iliyopo Mtule Kandahar wakati
alipokuwa katika ziara ya kutembelea Miradi ya maendeleo ya wananchi Wilaya ya
Kusini Unguja leo
Mjumbe wa Kamati ya
Mikopo katika Ushirika wa Mtule AMCOS Nd,Haji Juma Haji (kushoto) alipokuwa
akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) wakati
alipotembelea katika Ofisi ya Ushirika huo iliyopo Mtule Kandahar wakati
alipokuwa katika ziara ya kutembelea Miradi ya maendeleo ya wananchi Wilaya ya
Kusini Unguja leo (katikati) Mwenyekiti wa Ushirika wa Mtule AMCOS Bw.Mgana
Khamis Zidi

Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na
Viongozi wengine wakiwa katika Picha ya Pamoja na Wanaushirika wa Mtule AMCOS
leo wakati alipotembelea katikaOfisi ya Ushirika huo kuangalia maendeleo
waliofikia wananchi hao akiwa katika ziara ya kutembelea maendeleo katika
Wilaya ya Kusini Unguja
Your Ad Spot
Aug 17, 2017
Home
Unlabelled
ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA KUSINI UNGUJA, LEO
ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA KUSINI UNGUJA, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇