Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Frank Uhahula akijadili jambo na Ofisa kutoka Ubalozi wa China hapa Nchini, baada ya kumpokea kwa ajili ya mazungumzo na mgeni huyo na ujumbe wa Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017
Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Frank Uhahula akijadili jambo na Ofisa kutoka Ubalozi wa China hapa
Nchini, baada ya kumpokea kwa ajili ya mazungumzo na mgeni huyo na
ujumbe wa Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius
Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo
kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika
walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017

Katibu Msaidizi katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Georgte akisalimia ugeni huo
Ugeni ukiwasili ukumbini
Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika wakijiandaa kwa mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017
Ofisa kutoka Ubalozi wa China akiwa na mkalimani wake kabla ya mazungumzo kuanza
Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Frank Uhahula akiwa na jopo lake kabla ya kuanza mazungumzo na Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius
Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo
kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika
walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam Agosti 17, 2017. Kushoto ni Ndugu Charles Charles na kulia ni Ndugu George
Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Frank Uhahula akiwa na jopo lake kabla ya kuanza mazungumzo na Wahandisi
watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius
Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo
kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika
walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam Agosti 17, 2017. Kushoto ni Ndugu Charles Charles na kulia ni
Ndugu George
Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Frank Uhahula akizungumza na Wahandisi

Mazungumzo yakiendelea
Mazungumzo yakiendelea. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Your Ad Spot
Aug 17, 2017
Home
Unlabelled
WAHANDISI WATAKAOSIMAMIA UJENZI WA CHUO CHA UONGOZI CHA JULIUS NYERERE MJINI KIBAHA WATEMBELEA OFISI NDOGO YA CCM, DAR, LEO

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇