Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia
kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya
kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A”
Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar
Kheir, (kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua jengo la kituo
cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali
mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri
wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum
za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan
Musa
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)
alipokuwa akizungumza na wanakijiji cha Mbuyu Maji wakati alipokuwa
akiwaahidi kwa kupunguza matatizo ya Kijiji hicho leo alipotembelea
Wilaya ya kaskazini”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja kutembelea Miradi mbali
mbali ya Maendeleo. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇