Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru akizungumza na wafanyakazi Bora 2017 kabla ya kuwakabidhi vyeti wafanyakazi hao.
Mwenyekiti wa Tughe Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili, Mziwanda Chimwege (kulia) akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru (katikati) wakati wa kuwapongeza wafanyakazi Bora wa 2017. kushoto ni Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa Hospitali hiyo, Makwaia Makani..>>INAENDELEA/>BOFYA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇