Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na
mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd Xu Xinpei
alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Meneja wa China Harbour
Engineering Company Ltd Xu Xinpei wakati alipowasili katika Ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akifuatana na mgeni
wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd Xu Xinpei
baada ya mazungumzo yao wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja leo
Your Ad Spot
Aug 10, 2017
Home
Unlabelled
DK. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA KAMPUNI YA CHINA HARBOUR ENGINEERING, LEO
DK. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA KAMPUNI YA CHINA HARBOUR ENGINEERING, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇