Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN)
nchini Tanzania, Alvaro Rodriguez, akizungumza wakati
wa Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani
iliyofanyika katika ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi, akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa Siku ya Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani
iliyofanyika katika ukumbi wa Little Theatre,
jijini Dar es Salaam
Wasanii ambao ni wakimbizi walioko katika kambi
ya Nyarugusu mkoani Kigoma, wakiburudisha wageni waliohudhuria Siku ya
Maadhimisho ya Wakimbizi Duniani iliyofanyika
katika ukumbi wa Little Theatre jijini Dar es Salaam
Wasanii wa kundi la Mpoto Theatre, wakiigiza
igizo katika Siku ya Maadhimisho ya Wakimibizi Duniani,igizo hilo lilihusu
mauaji yanayotokea nchi mbalimbali zilizoko kwenye vita ambapo hupelekea wananchi wake kukimbilia
nchi nyingine na kuomba hifadhi ya ukimbizi.Maadhimisho hayo yamefanyika katika
ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es
Salaam
Wasanii wa kundi la Mpoto Theatre, wakiigiza
igizo katika Siku ya Maadhimisho ya Wakimibizi Duniani,igizo hilo lilihusu
mauaji yanayotokea nchi mbalimbali zilizoko kwenye vita ambapo hupelekea wananchi wake kukimbilia
nchi nyingine na kuomba hifadhi ya ukimbizi.Maadhimisho hayo yamefanyika katika
ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi
Your Ad Spot
Jun 21, 2017
Home
Unlabelled
SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI YAADHIMISHWA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇