Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, alipowasili ukumbini kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akisalimiana na Katibu wa CCM Tawi la Uingereza (UK) Leybab Mdegela, alipowasili ukumbini kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akienda kuketi kitini tayari kwa mazungumzo na ugeni huo, Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, na Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.
Wakiwa tayari kwa mazungumzo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.
Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela (kulia) akifafanua jambo katika mazungumzo hayo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akieleza jambo wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa CCM Tawi la Uingereza (UK), Kangoma Kapinga, wakati wa mazungumzo yao Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa tawi hilo Leybab Mdegela. PICHA: BASHIR NKOROMO
Your Ad Spot
Jun 29, 2017
Home
Unlabelled
POLEPOLE AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM TAWI LA UINGEREZA LEO
POLEPOLE AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM TAWI LA UINGEREZA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇